Wednesday, November 12, 2008

UBARIKIWE KATIKA SIKU HII


Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako........

Mungu akupe neema na kibali katika siku ya leo. Ubarikiwe uingiapo na utokapo.

Fanya yote yaliyo mema katika siku hii, nawe utabarikiwa.


No comments: